Saturday, January 3, 2009

Utalii ni moja kati ya njia kuu zinazoiingizia pato nchi ya Brazil na zaidi ya pato, utalii umekuwa ni moja kati ya njia zinazotoa ajira kwa raia wa nchi hiyo na hivyo serikali imekuwa makini katika kusimamia utalii nchini humo. Haya ni maporomoko ya Mto Iguazu uliopo kait ya Argentina na Brazil ambayo hutembelewa na watalii wengi nchini humo.

Msomaji,
Brazil.

11 comments:

Anonymous said...

I don't know why my country is poor. We need to understand that tourism sector contributes to tax revenue and foreign exchange earnings. Overall, will make a significant economic contribution if we become more effective.


James

KS


--------------------------------------------------------------------------------

Anonymous said...

Tanzania with few evident opportunities to diversify export earnings away from primary commodities, we need to use tourism as an option to contribute to economic growth.

Anonymous said...

The results show that tourism has a significant impact on output and incomes, especially taking into account the strong inter-sector linkage effects, although this has not been translated into corresponding employment gains in Tanzania.

We need to open up our eyes and use what we have. I always say my country is blessed except when it comes to labour manpower we are empt set

Anonymous said...

What can be a multiplier Effect of tourism in tanzania
A tourist dollar will be a new dollar injected into the tanzania economy. A percentage of this new dollar will be spent in the tanzania community by the recipient and this dollar spent and re-spent will be creating a multiplier effect. The more new tourist dollars will enter our economy and the longer the percentage will be retained locally, the greater the economic will benefit.


John

Manchester

Anonymous said...

Tanzania need to understand that tourism is a labour intensive industry and creates many job opportunities, especially for young tanzanians and part-time and full-time workers. In the tourism hospitality and recreation industries alone we have more categories of employment and approximately hundreds classifications of occupations.

By the way, i do appreciate you ccm to come up with this blogsite


Temu

U S A

Anonymous said...

Tourism will provide diversification, making our local economy less reliant on a tradional base e.g. agriculture and mining. This is particularly significant for regional rural communities.

Naomba tutilie mkazo sana hili swala maana ni muhimu sana katika kuliendeleza taifa letu. Tunaona jinsi gani jirani zetu walivyotumia mt. kilimanjaro kutangaza nchi yao na kujipatia wageni wengi wanaokuja na pesa za kigeni nchini mwao. Taifa letu halitakiwi kuwa maskini maana tuma utajiri mwingi sana iwapo tutapata viongozi wazuri. Jk unajitahidi.

Kanga

kijitonyama

Anonymous said...

Tourism will provide diversification, making our local economy less reliant on a tradional base e.g. agriculture and mining. This is particularly significant for regional rural communities.

Naomba tutilie mkazo sana hili swala maana ni muhimu sana katika kuliendeleza taifa letu. Tunaona jinsi gani jirani zetu walivyotumia mt. kilimanjaro kutangaza nchi yao na kujipatia wageni wengi wanaokuja na pesa za kigeni nchini mwao. Taifa letu halitakiwi kuwa maskini maana tuma utajiri mwingi sana iwapo tutapata viongozi wazuri. Jk unajitahidi.

Kanga

kijitonyama

Anonymous said...

Opportunites for Business
Tourism creates will create opportunities in tanzania for the establishment of new products, facilities and services and expansion of existing businesses which would not otherwise be justified solely on the tanzania population.

Anonymous said...

Tourism will provides the opportunity for tanzanians to interact with other people and cultures and brings new ideas into the community.

Mimi niepata bahati ya kutoka nje ya nchi na nimejifunza mambo mengi. Watanzania hambao hawajatoka nje ya nchi wanadanganywa kwa pipi kama watoto wadogo na ndio maana hata mafisadi wanawadanganya hili wamkatishe tamaa raisi ambaye yuko tari kufanya kazi kwa manufaa ya walio wengi

Watanzania wenzangu tafuta nafasi za kutoka nje ya nchi mtagundua kwa nini nchi za wenzetu zinaendelea sio tu majungu

Anonymous said...

Tourism in our country will stimulate the establishment of new and improved transport services to and within a regional area.

Huruma Mgaya said...

HERI YA MWAKA MPYA 2009

Hongera wana CCM wa Marekani kwa uamuzi wenu thabiti, mahiri unaokwenda na wakati kwa kuamua kuanzisha Mtandao Huu ambao hautawapa fulsa ninyi pekeyenu kujua umuhimu wa chama chetu huku Tanzania, mwenendo wa siasa ya nchi yetu, jitihada za watanzania kwa kila mmoja, jitihada zetu katika kuiletea taifa letu maendeleo, Bali pia nanyi kama sehemu ya taifa mtapata fulsa ya moja kwa moja ya kutoa maoni yenu na kupima nguvu zenu zitumike wapi katika kujenga Taifa letu.
Wito wangu muhimu ni kuwa nchi hii ni yetu sote, wote tunawajibu sawa, tunapaswa tubebe dhamana pamoja, kwa kuwa hapana mtu wa kuchukua nafasi yetu katika kujenga taifa letu. tulaumiane sana huku tukijipa fulsa ya kutafakari katika kuondoa tatizo lililopo na linalotukabili na kuchukua hatua madhubuti kwa wakati kwa kuwa kulaumu bila kutoa suluhisho hakutoi jibu katika maendele.
Sisi ni taifa kati ya mataifa, tunapita katika kipindi kigimu na muhimu, Kitaifa,Kikanda na Kimataifa.
Sehemu ya matatizo yetu ni matatizo ambayo yamezikumba nchi takrinbani zote duniani katika kutafuta maendeleo, tuyaone haya yote ni changamoto zinazotusukuma kwenda mbele katika maendeleo.

Aluta Kontinua.

Mnyahenza Rajabu
Dar es salaam
Tanzania