Saturday, January 17, 2009

Tatizo la miundo mbinu bado ni tatizo kubwa miongoni mwa nchi nyingi barani afrika, hii ni moja ya picha za jiji la Lagos nchi Nigeria moja ya nchi zinazosifika kwamba zinamiundo mbinu mizuri katika bara la afrika. ikumbukwe kwamba Nigeria ni moja nchi zinazotoa mafuta kwa wingi Africa na Duniani

msomaji,
Lagos

1 comment:

Anonymous said...

Nigeria nao mambo yao mbona ovyo