Monday, January 19, 2009

MAKATIBU WAKUU WAKUTANA KUUJADILI MUUNGANO

Makatibu wakuu wameanza mkutano wao leo jijini Dar es salaam maalum kwa ajili ya kujadili kero mbalimbali za muungano. Makatibu hao kutoka pande zote mbili za muungano wanakutana katika ukumbu wa ofisi ya makamu wa rais na mkutano huo unaongozwa na bi. Ruth Mollel ambae ni katibu mkuu ofisi ya makamu wa rais na Bw. Ally Rajab ambaye ni katibu mkuu ofisi ya waziri kiongozi.

Msomaji.

2 comments:

Anonymous said...

Huu muungano unajadiliwa nini ?. Nchi yetu inaitwa the United republic of Tanzania sasa wanachokijadili nini. Tunamambo mengi ya kujadili lakini nashangaa viongozi wetu wanatumia mda mwingi kujadili vilivyokwisha malizika.

Anonymous said...

Sasa huo muungano unajadiliwa nini?. Kila mwaka nasikia muungano unajadiliwa. Jk waeleze hao wafanyakazi wako wakashugulikie matatizo mengine sio muungano.