Tuesday, March 31, 2009

Bango likionyesha pande mbili zinazotumiwa na waendesha baiskeli na watembea kwa miguu.
Hata hivyo baadhi ya watumia barabara hiyo wameueleza mtandao huu kwamba mabango mengi katika barabara hiyo ni madogo mno na hayaonekani vizuri.
Hii ni pembeni mwa barabara ya Kilwa eneo ambalo linatumiwa na waendesha baiskeli, barabara hiyo imetengenezwa kukidhi mahitaji ya makundi yote ya watumiaji barabara wakiwemo watembea kwa miguu.

BARABARA YA KILWA YAELEKEA KUKAMILIKA

Hivi ndivyo barabara ya Kilwa inavyoonekana kwa sasa, barabara hiyo inategemewa kupunguza sana msongamano wa magari uliokuwepo katika eneo hili lenye wakaazi wengi wanaoitegemea njia hii pekee wanapotaka kusafiri.

Msomaji
Tanzania.

HONGERA MH. JK

Rais JK akimlisha mkewe mama Salma keki katika sherehe ndogo iliandaliwa maalumu kwa
ajili kusherekea kutimiza miaka 20 ya ndoa yao.

KIONGOZI MWINGINE AFRIKA AFUATA NYAYO ZA MWL. NYERERE.

Ni katika kile alichowahi kukiita mwl. Nyerere kwamba ni uongozi wa kupokezana.
Moja ya majeruhi akipatiwa matibabu mara baada kufikishwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma General Hospital. Mganga mkuu wa Hospitali ya mkoa wa Dodoma amesema kwamba
wanavyo vifaa vya kutosha kwa ajiri ya kuwahudumia wagonjwa hao wa ajari ya treni iliyotokea Juzi katika kitongoji cha Pandambili nje kidogo Mji wa Dodoma.
Baadhi ya majeruhi wa ajari ya treni wakisubiri kuruhusiwa. Habari zaidi zinasema kuwa watu kadhaa ambao wamepata majeraha madogo wamekuwa akitibiwa na kuruhusiwa na wengine kadhaa wamelazwa hospitalini hapo.

Monday, March 30, 2009

Majeruhi katika ajari ya treni akipatiwa huduma ya kwanza, Waziri wa miundombinu Bi. Shukuru Kawambwa amesema kwamba kazi ya uokoaji imekuwa ikiendelea vizuri licha ya ugumu ambao unatokana na ukosefu wa vifaa vya uokoleaji.

NI MSIBA, MAJONZI NA HUZUNI NCHINI TANZANIA

Baadhi ya wakazi wa Mji wa Dodoma wakisaidia katika zoezi la utoaji wa miili ya watu waliofariki
katika ajari ya train iliyotokea mjini dodoma jana mchana. Habari zaidi zinasema kwamba
mamia kadhaa ya watu toka pembe zote za tanzania wamekuwa wakifurika katika Hospitali ya mkoa wa Dodoma maarufu kama "General Hospital" kutambua miili ya ndugu zao.
Hii ni moja kati miili iliyobanwa na vyuma ndani ya train iliyopata ajari mjini Dodoma jana, mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh. Willium Likuvi amevieleza vyombo vya habari kwamba wakaazi wa mji wa Mpwapwa ilikotokea ajari wamejitokeza kwa wingi na kushiriki katika zoezi la uokoaji wa maiti.
Hapa ukaze moyo" Moja ya baadhi ya miili ya marehemu hao ikiwa imetobolewa na kubanwa vibaya na vyuma katika ajri hiyo.
Polisi wakipata maelezo toka kwa moja ya watu walioshuhudia ajari hiyo inayoelezwa kwamba ilitokana na hujuma za baadhi ya wafanyakazi wa Shirika hilo la (TRC) na baadhi ya wakazi wa kitongoji hicho cha Pandambili kitichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma.


TANZANIA TRAIN WRECK DELIBERATE

DODOMA.

Police in Tanzania suspect a train crash that left seven people dead was caused deliberately so that petrol could be stolen from the fuel tanks.
Seven people have been arrested, including the driver of the cargo train and the station master. The initial death toll was thought to have been 15.
In Sunday's incident, a passenger train hit a stationary cargo train near the town of Dodoma, in central Tanzania.
It happened near Pandambili in Dodoma's Mpwapwa District, local media say.
William Lukuvi, Dodoma's regional commissioner, told AP news agency: "Cranes have been ordered to help separate the crumpled wreckage and retrieve bodies."
In 2002, more than 200 people were killed and hundreds more wounded when a freight train collided with a passenger train outside Dodoma - the worst rail accident in the country's history.
Correspondents say most of Africa's railways date back to colonial times.

Sunday, March 29, 2009

MAKUMI WAFARIKI UWANJANI IVORY COAST.

Watu wapatao 22 wafariki dunia katika vurugu zilizotokea leo katika Jiji la Abidjani
nchini Ivory Coast.
Habari zilizotufikia zinasema kuwa taflani hizo zilitokea katika uwanja wa mpira wa
miguu wa Houphouet-Boigny arena wakati wa mchezo wa soka wa kutafuta tiketi ya kushiriki kombe la Dunia 2010 kati ya Ivory Coast na Malawi.
Ukuta wa moja ya majukwaa katika uwanja huo lilishindwa kuhimili uzito wa idadi kubwa ya mashabiki na kulazima kubomoka na kusabisha vifo vya watu 22 na kujeruhi wengine 130 kati ya watu 36,000 wanaokadiliwa kuwepo uwanjani hapo wakati tukio hilo likitokea.

msomaji,
Abidjani.

BREAKING NEWS.

DODOMA-TANZANIA.

Habari kutoka Dodoma - Tanzania zinasema kuwa imetokea ajari mbaya
ya treni leo mchana katika eneo la Pandambili wilayani Mpwapwa mkoani
Dodoma.
Habari zilizotolewa na mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh. William Lukuvi zinasema
kuwa jumla ya watu kumi na tano wamepoteza maisha na kwamba idadi hiyo inaweza kuongezeka.


Habari zaidi zitafuata kadri tutakavyokuwa tunazipata.

Msomaji
Dodoma.

NANI ANAHITAJI MSAADA?

Haya ndio maisha ya watanzania tulio wengi nchini mwetu na naamini wengi wetu tunajali na tungependa tusaidie kwa namna moja au nyingine, je ni yupi kati ya hawa anaehitaji msaada?

Shaibu Said,
Houston - Texas.

NI MAJI AU STYLE YA MAISHA YETU?

Maisha ni mazuri ukiwa na nyumba ila ikiwa kuna karaha kama hii inabidi uamishe makazi kwa muda ifikapo hali kama hii, najaribu kuwa challenge ndugu zangu wa JIJI ili tuweze kuboresha haya mazingira, kwani nyie ndio tunaowategemea katika maisha yetu ya kila siku katika swala zima la usafi, Je Mtatusaidia kwa hili? nitafurahi sana kama mtaanzia mtaa wetu huu wa jirani yetu.

Shaibu Said,
Houston - Texas.
Waziri wa Elimu na Mafunzo Prof. Jumanne Maghembe (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo wakati akitangaza matokeo ya uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia kidato cha tano na katika vyuo vya ufundi kwa mwaka wa masomo 2009. Kushoto ni Kaimu Kamishina wa Elimu Leonard Musaroche na kulia ni Msaidizi wa Waziri Alfred Kilasi.
msomaji,
Dar es salaam.

Friday, March 27, 2009

BURUDANI NA MICHEZO

SIKU LIVERPOOL ILIPOIKANDAMIZA MAN'U 4-1 OLDTRAFFORD!!
Haya wapenzi wa mpira wa miguu hasa wale wanaovipenda kwa sana vilabu viwili vya Uingereza Manchester United na Liverlpool inasemekana wakati manchester United wanakung'utwa goli 4-1 na Liverpool wakati timu hizo zilipokutana hivi karibuni wanja la Oldtraford lilikuwa limeinama kiasi hiki ndiyo maana magoli yalikuwa yakiingia kama mvua haya meipata hii jamani kazi kwenu wapenzi wa Man'U.
Msomaji
Manchester

UConn's Thabeet destroys Purdue’s shots

For a man who stands 7-foot-3, has played basketball for six years (three of which have been at Connecticut), and is seen as a hero in native Tanzania, Hasheem Thabeet doesn’t act like a national salvation.

He’s quiet, introspective and intelligent.
But he’s been a salvation in Storrs, Conn., most of this season, including Thursday in the NCAA Sweet 16 at University of Phoenix Stadium.

He’s a junior and projected top 10 NBA Lottery pick should he so choose after this tournament, but he needed some prodding at halftime of the Huskies’ 72-60 victory. A.J. Price and Jeff Adrien weren’t making shots and the Boilermakers weren’t budging. So for nearly six minutes,

UConn players sat among themselves in the locker room and told Thabeet to take over.
He’s done it before. At 13.7 points, 10.7 rebounds and 4.4 blocks per game, he’s a collegiate game-changer.

He scored eight points to begin the second half and extend UConn’s 30-25 halftime lead and did the rest on the other side.

The 15 points, 15 rebounds and four blocks are what show up in the stat sheet.
“He made the lane a place no one really wanted to go,” UConn coach Jim Calhoun said.
As for the altered shots, second thoughts and inability to simulate Thabeet’s impact during practice and preparation?

Those don’t show up in the stat sheet, but as part of the sour faces and painful words of Purdue.
“You can’t really simulate what he does,” Purdue coach Matt Painter said. “He’s good at a lot of things which don’t show in a box score. ... Guys like that don’t come around too often.”
Coach isn’t kidding.

Tanzania is a hotbed for soccer, not basketball. The country has never participated in a significant world event on parquet, which means Thabeet would be one-of-a-kind whenever he takes on the NBA.

To get here, he was a model to help raise money for the family when his father died. He Googled and e-mailed American college basketball coaches randomly, but to no avail.

He went to Kenya to play basketball when a French man with basketball connections spotted him, and suddenly he was in Los Angeles going to prep school.

His name was originally Hashim Thabit until it was “Americanized” for passport purposes when he arrived in Los Angeles from Africa in 2005. From Tanzania to Kenya to Los Angeles to Massachusetts, and, finally Connecticut.

A Muslim, his name means “destroyer of evil” in Arabic, and, since this is the NCAA tournament and the Boilermakers were the opponent, Thabeet was what the nameplate suggests.
Thabeet’s homeland didn’t include organized basketball, so he learned how to move and shoot by himself, but even at a spindly 7-foot-3, 230 pounds, what college coach wouldn’t take a plus-sized gift?

He buried his hands in tubs of sand to strengthen them as part of unusual workout regiments with UConn coaches. He’s gained 25 pounds and learned UConn’s complex offense, and ascended his playing time and contributions since those gangly freshman days.

He’s met with dignitaries, ambassadors and the Tanzanian president three times, but it’s been a couple weeks since Thabeet has or needed to be an on-court intimidator.

Thursday brought him back, and with a win Saturday against Missouri, the Huskies will be in Detroit chasing their third national championship.

He is Connecticut’s and Tanzania’s biggest hope, with dreams of being the next Dikembe Mutombo both in the NBA and to his African homeland, that’s exactly the salvation Thabeet has sought: A real-life destroyer of shots and African evil

Msomaji
Boston

Tuesday, March 24, 2009

Mwenyekiti wa CCM rais Kikwete ashiriki maziko ya mtoto wa kaka yake

JANA jioni Rais Jakaya Kikwete (mwenyekanzu ya rangi ya udongo) alishiriki mazishi na maziko ya mtoto wa kaka yake Mzee Selemani Kikwete kijijini kwao Msoga, Bagamoyo

CCM NCHINI MAREKANI INATOA POLE SANA KWA FAMILIA YA MZEE SELEMANI KIKWETE

AMEN

Monday, March 23, 2009

South Korean Group May Build 210-Megawatt Wind Farm in Tanzania

A group of South Korean investors plans to build a 210-megawatt wind-power farm in Tanzania’s central Singida region by 2011 at a cost of $400 million, Chris Incheul Chae, chief executive officer of Good P.M Group, said.

The project, which comprises of 100 wind-generating turbines of up to 60 feet each (18.3 meters), will be located about 150 kilometers (94 miles) northwest of Tanzania’s capital, Dodoma, Chae, said today in an interview at Stone Town in Zanzibar.

Chae’s group has signed a memorandum of understanding to acquire the 500-hectare (1,235-acre) property in Singida from Tanzania’s Power Pool East Africa Ltd., he said. Korean contractors will start construction of the wind farm by year- end, said Chae. In the second phase, the group may acquire 900 hectares of adjoining land and build as much as 1,800 megawatts of capacity, he added.

About 90 percent of Tanzania’s population has no access to power. Peak demand for electricity is about 782 megawatts, compared with a capacity of 570 megawatts, with demand growing at about 15 percent a year, Minister for Energy and Minerals William Ngeleja said March 13.

Msomaji
Dar es salaam

Saturday, March 21, 2009


Mfungaji wa bao la ushindi la Tanzania kepteni Harlune mwasabwite ( mzee wa baku baku) katika mchezo wa leo dhidi ya Burundi kwenye uwanja wa George Bush Park.

TANZANIA 1- BURUNDI 0


Timu ya soka ya watanzania waishio Houston-Texas leo wameendeleza kichapo kwa timu zinazoshiriki ligi ya ujirani mwema zinazoshikirikisha nchi zote za afrika kwa ukanda wa Houston, baada ya kuwafunga Burundi bao moja kwa bila.
Tanzania wakiongozwa na timu kepten Halune Mwasabwite walijipatia goli hilo moja katika kipindi pili cha mchezo mfungaji akiwa kepteni huyo mwasabwite. ushindi huo unaifanya tanzania sasa kuongoza kundi A ikiwa na pointi nne baada ya kutoka sare na Sudani katika mchezo uliopita, Tanzania itaingia tena uwanjani jumamosi ijayo tar. 28/ 03/ 09 kupambana na (wahabeshi) timu ya Ethiopia.
Taarifa
Shaibu said,
Houston-Texas.


Friday, March 20, 2009

KAMATI YA USHAURI YA MADINI YAZINDULIWA NA WAZIRI NGELEJA

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu Uzinduzi wa kamati ya Ushauri wa Madini katika Ukumbi wa Wizara hiyo leo jijini Dar es salaam
Waziri William Ngeleja akiendelea kutoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari na wajumbe wa kamati kuhusu Uzinduzi wa kamati hiyo ya Ushauri wa Madini katika Ukumbi wa Wizara hiyo leo jijini Dar es salaam.

Kamati hiyo itakuwa na kazi ya kumshauri waziri katika masuala yote yaliyoainishwa kwenye sheria ya madini mfano uingiaji mikataba na uendelezaji madini (MDAs) na yanayohusiana na usimamizi wa sheria ya madini ya mwaka 1998.
Wanaounda kamati hiyo ni mwenyekiti Meja Jen. G. Mang'enya jaji mstaafu mahakama ya kijeshi wajumbeni Bw. Erick Mugurusi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Bw Joseph Stanley Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dr. Philip Mpango Wizara ya fedha na Uchumi, Bi. Maria Kejo Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali, Richard Kasesela Sekta Binafsi na Mh. Esther K. Nyawazwa (Mbunge) kutoka sekta binafsi ambapo mwakilishi kutoka Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko bado hajateuliwa

Msomaji
Dar es salaam

Thursday, March 19, 2009

SERIKALI imebainisha sababu za kutwaa sehemu ya eneo la Kigamboni kwa ajili ya ujenzi wa mji mpya.

Waziri wa Ardhi na Makazi Mh. John Chiligati akilonga na wakazi wa Kigamboni.

Akizungumza na wakazi wa mji wa Kigamboni jana Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi John Chiligati amesema Serikali imefikiria kwa kina kabla ya kutoa uamuzi huo.Akizitaja baadhi ya sababu Waziri alisema mji wa Kigamboni unaeneo refu la bahari ambalo bado halijatumika sawasawa na kuongeza kuwa fukwe hizo zikitumika sawasawa zitaweza kuleta maendeleo makubwa.

Aidha Waziri alisema mji wa Kigamboni upo kariku na jiji la Dar es salaam ambalo ni kitovu cha biashara nchini hivyo kujengwa kwake kutasaidia katika kuongeza uchumi mara dufu.Waziri Chiligati pia alisisitiza kuwa mradi huo utaleta taswira nzuri ya mji huo wa Kigamboni na kuwa utakuwa ni mji wa kuigwa na nchi nyingine ukiwa katika mfumo mzuri wa majengo.

“Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa kwa Taifa na kwa wanakigamboni wenyewe kwani Serikali itahakikisha kuwa wakazi wa Kigamboni ni sehemu ya mradi” Alisema Waziri.

Alisema ili kuhakikisha kila mtu anapata fidia sahihi elimu ya sheria za fidia itatolewa kwa wakazi wote na kueleza kuwa fedha za fidia zitatoka kwa wawekezaji watakao kuja katika maeneo hayo na hakuna mtu atakayepoteza haki yake katika mradi huo.Waziri hata hivyo alisisitiza kuwa ujenzi wa mradi huo hauta fanyika mpaka pale Serikali itakapoona elimu ya kutosha imekwisha kutolewa kwa wananchi wote ili kuepuka matatizo hapo baadae.

”Elimu hii ndiyo kwanza tumeianza ninauhakika mtaelewa tu kwani Serikali haina nia mbaya ila kuleta mabadiliko tutahakikisha tutaendelea kuwaelimisha” Alisema WaziriKatika kutekeleza mradi huo Serikali imewaomba wakazi wa maeneo hayo kusimamisha shughuli zote za ujenzi walizonazo mpaka pale ramani ya mji huo itakapokamilika.Mradi huo unahusisha maeneo ya Kigamboni, Vijibweni,Kibada na Mjimwema.

Msomaji
Dar es salaam

RAIS JAKAYA KIKWETE AREJEA KUTOKA UINGEREZA

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu J. K. Nyerere leo mchana akitokea Uingereza alikokwenda kwenye mkutano wa maandalizi ya mkutano wa G20 utakaofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao huko Uingereza.

Msomaji
Dar es salaam

Wednesday, March 18, 2009

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU TFF KUMUONGEZEA MKATABA WA MWAKA MMOJA KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU MAXIMO

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Kapt. George Mkuchika akiongea na waandishi wa habari juu ya tamko la Serikali kuhusu T.F.F kumwongezea kocha wa timu ya Taifa Marcio Maximo mkataba wa mwaka mmoja. Mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam waziri pia amepongeza kiwango cha timu ya taifa na kumshukuru kocha Mrcio Maximo kwa kazi nzuri aliyoifanya kulia ni Naibu waziri wa wizara hiyo Mh. Joel Bendera.

Msomaji
Dar es salaam

Tuesday, March 17, 2009

President Kikwete off to London for Pre- G29 meet

President Jakaya Kikwete exchange views with Prime Minister Mizengo Pinda (second right) Chief Defense Force Davis Mwamunyange (left) and Inspector General of Police Said Mwema at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam yesterday, shortly before to left for London to attend a meeting on global financial crisis.

President Jakaya Kikwete left yesterday morning for London to attend a meeting convened by UK Prime Minister, Gordon Brown, on global financial problems.

A statement from State House said yesterday that President Kikwete was among few leaders who have been invited by Mr Brown for the meeting to be held today.

The leaders would meet at Lancaster House to deliberate on how the global financial crisis has affected African continent.

"In the meeting dubbed Pre-G20 London Summit Africa Outreach Consultative Meeting, Mr Gordon Brown wants to get a stand from Africa.

The stand will be presented at the G-20 meeting slated for next month in London," reads part of the State House statement.

Mr Brown will play host during the meeting which bring together 20 rich and industrialised countries in the world.

In todays meeting, President Kikwete is et to present resolutions drawn during the IMF-Africa summit held in Dar es Salaam last week.

The historical meeting, in addition to discussing relations between IMF and Africa, also dwelt on the effects of the global financial problems on Africa.
The meeting proposed several alternatives on how international community could assist Africa reduce the effects of the financial downturn and t battle poverty.
President Kikwete of the United Republic of Tanzania meet with the United Kingdom Prime Minister Gordon Brown in London
President Kikwete meet with the International Development Douglas Alexander in London
Msomaji
London

Monday, March 16, 2009

JIONEE ZIARA YA WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA SOKONI KARIAKOO ILIVYOKUWA

Hili ndilo soko la Kariakoo Dar es salaam, siku hizi liko safi kwa nje maana wamachinga walifukuzwa mambo yote ndani.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwasili katika soko la Kariakoo akifuatana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Patrick Sere.
Ujio ulipokewa na mgomo wa wanafunzi wa Chuo Kikuu ambao walikuwa wanamkumbushia kauli yake kuhusu mauaji ya maalbino nchini, wakisisitiza kuwa kunatakiwa wanasheria kukabiliana na hili jambo. Hivyo basi wanafunzi wa sheria waliofukuzwa siyo stahili yao. Bango jingine linaonekana kwa mbali likisema "Mpaka sasa ni wanafunzi 70 tu ndio wako madarasani" lakini hakuna mtu aliyekuwa anawatiamaanani wanachokisema.
Waziri Mkuu akiwa katika ofisi ya soko la Kariakoo pamoja na mwenyekiti wa soko hilo(kati) na kulia kabisa ni Meya wa Jiji la Dar es salaam Adam Kimbisa.
Watu wanajaribukusikiliza kinachosemwa ndani ya ofisi hiyo
Kama vile Mkuu anauliza "Hii sio boshen?" kisha kijana anajibu "Mheshimiwa hamna boshen hapa, ukweli ni kuwa nyanya zimejaa" Ufafanuzi; boshen ni pale nyanya zinaweza kupangwa mpaka juu ukadhani kweli zimejaa lakini katikati kuna upepo. Kwa maana nyingine unaweza kwenda sokoni kununua nyanya au viazi vingi kisha ukifika nyumbani vikawa sio vingi kama ulivyoona. Unatakiwa kuwa makini ukinunua nyanya au viazi. Usimruhusu muuzaji akuwekee nyanya kwenye mfuko, weka mwenyewe au mwambie aweke moja moja.
Mmoja wa wafanyibiashara akilalamikia uwongozi wa soko.
Mwingine akilalamika kwa hasira sana nakutia msisitizo.
Soko hili la Kariakoo lina "underground vending stalls" huku chini kuna joto na uchafu sana. Siku hiyo Waziri Mkuu alijionea mwenyewe.
Kadiri ya malalamiko yalivyozidi kuja mwenyekiti wa soko(brue) alibadilika sura, anaona kama vile anaonewa.
Malalamiko yalivyomzidi mwenyekiti akaanza kujikuna kichwa.
Msomaji
Dar es salaam

BURUDANI YA WEEK !!!!!!!!!!!!!

TWANGA PEPETA WEEKEND KATIKA VIWANJA VYA LEADERS MAMBO YALIKUWA HIVI
Wanenguaji wakiwa wanacheza mugongo mugongo Aliengia jukwaani aliwafanya watu wacheke na kupiga makofi
Kuangalia kumbe wanamfaamu ni mzee small ndiyo jina lake lakini mambo yake ni makubwa. Shabiki huyu hakuvumialia ilibidi ampe mzee small tuzo
Mzee small mashetani yakampanda utadhani alikuwa anacheza mdundiko.
Msomaji
Dar es salaam

MARCIO MAXIMO KUENDELE KUIFUNDISHA TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA TANZANIA

Rais Kikwete akimuaga kijana Mwinyi Kazimoto baada ya chakula cha mchana kabra ya timu ya taifa kuelekea Ivory Coast kwenyemashindanoa yaliyomalizika, inaonekana chakula kilikuwa kitamu hadi dalili zinaonekana kwenye Tshirt ya Kazimoto Wakuu wakijiandaa kupata chakula siku hiyo Maximo Kocha wa Taifa stars akiongea na mfanyibiashara maarufu Tanzania Mohamed Dewji
Rais Kikwete akitoa Hotuba siku hiyo ya kuwahamasisha wachezaji
Rais akisisitiza pointi fulani.
Rais akisikiliza Hotuba iliyojaa mikakati aliyonayo Maximo. He then applaudes the speaker.
Then he gives him a firm hand shake. No that it is enough, he hugs him.
Msomaji
Dar es salaam