Moja ya majeruhi akipatiwa matibabu mara baada kufikishwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma General Hospital. Mganga mkuu wa Hospitali ya mkoa wa Dodoma amesema kwamba
wanavyo vifaa vya kutosha kwa ajiri ya kuwahudumia wagonjwa hao wa ajari ya treni iliyotokea Juzi katika kitongoji cha Pandambili nje kidogo Mji wa Dodoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
jamani ajali mpaka lini, kila siku watu wanakufa tuuuu, tumechoka na haya mambo jaaaaaaaaaaaaammini
poleni ndugu zetu na asanteni wana ccm kwa kutujulisha yaliyowasibu baba, mama, dada na kaka zetu huko nyumbani
kisponchi
uchitah
kwa hali hii ni ngumu kwa raia kuamini njia ipi ya usafiri ni salama kwake
Post a Comment