Monday, March 30, 2009

Hii ni moja kati miili iliyobanwa na vyuma ndani ya train iliyopata ajari mjini Dodoma jana, mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh. Willium Likuvi amevieleza vyombo vya habari kwamba wakaazi wa mji wa Mpwapwa ilikotokea ajari wamejitokeza kwa wingi na kushiriki katika zoezi la uokoaji wa maiti.

3 comments:

Anonymous said...

mungu awapokee na kuwarehemu marehemu wote

Anonymous said...

mkono wa mungu uwalinde na kuwapokea, waliojeruhiwa uwatibu na kuwaongezea siku za kuishi

Anonymous said...

jamani poleni wanandugu wote