Masanja mbele akikandamiza kibara wakati Joti akiruka kijotijoti.
Joti aka Ami B pamoja na wenzake wakifanya vitu vyao.
Kama kawaida yao vijana hawa huiga kama wanamuziki.
Mama Mabele akifanya vitu vyake.
Mama Mabele akifanya vitu vyake.
Kundi la maigizo la Original Comedy leo walitoa mpya wakati wa uzinduzi wa siku ya wanawake katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam kwa kutoa buradani safi katika sherehe za siku ya mwanamke dunianiani
Msomaji
Dar es saam
2 comments:
ccm mmenikumbusha hawa jamaa babukubwa mimi nawapenda sana. nawapongeza kwa juhudi zenu naomba muendelee kutupatia taharifa zaidi. Kidumu chama cha mapinduzi !!!!
HII BABU KUBWA NILIKUWEPO NA NII SEHEMU ILIKUWA HAIKALIKI BAADA YA HAWA JAMAA KUANZA SHUIGHULI ZAO
Post a Comment