Tuesday, March 31, 2009

HONGERA MH. JK

Rais JK akimlisha mkewe mama Salma keki katika sherehe ndogo iliandaliwa maalumu kwa
ajili kusherekea kutimiza miaka 20 ya ndoa yao.

3 comments:

Anonymous said...

hongera jk kwa kutunza ndoa bt kumbuka kwamba wewe ni mfano miongoni mwa wanandoa hivyo itunze ili nayo ikutunze

Maackusi

washington
DC

Anonymous said...

kama ni ndoa hongeni nilidhani ni part tu yakaida

Anonymous said...

safii jk hio ndio amana ya moyo wako, usitutanie ukaichezea utavunja heshima