Tuesday, February 2, 2010

JK akiwa na Mh Membe akiteta jambo kwenye mkutano unaoendelea wa 14 wa Umoja wa Afrika nchini Ethiopia katika la Addis Ababa.
Kaptani na ambae pia ni Mh. Mbunge John Komba (wa kwanza kulia) akiwa na waziri wa fedha Mh. Mkulo (wa pili kulia), kulia kwa bwana Mkulo ni spika wa Bunge mheshimiwa Samweli Sitta akiwa na Idd Azani mbunge wa Kinondoni.