Watu wapatao 22 wafariki dunia katika vurugu zilizotokea leo katika Jiji la Abidjani
nchini Ivory Coast.
Habari zilizotufikia zinasema kuwa taflani hizo zilitokea katika uwanja wa mpira wa
miguu wa Houphouet-Boigny arena wakati wa mchezo wa soka wa kutafuta tiketi ya kushiriki kombe la Dunia 2010 kati ya Ivory Coast na Malawi.
Ukuta wa moja ya majukwaa katika uwanja huo lilishindwa kuhimili uzito wa idadi kubwa ya mashabiki na kulazima kubomoka na kusabisha vifo vya watu 22 na kujeruhi wengine 130 kati ya watu 36,000 wanaokadiliwa kuwepo uwanjani hapo wakati tukio hilo likitokea.
msomaji,
Abidjani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment