Tuesday, March 31, 2009

Hii ni pembeni mwa barabara ya Kilwa eneo ambalo linatumiwa na waendesha baiskeli, barabara hiyo imetengenezwa kukidhi mahitaji ya makundi yote ya watumiaji barabara wakiwemo watembea kwa miguu.

6 comments:

Anonymous said...

waaaume hivi hii ndio kilwa road? ile barabara mbovu mike acha maslhah mkuu.

Anonymous said...

nimefurahi kuona posting zimeanza kwa kasi kama ile ya mwanzo hii ni ishara njema sana kwetu sisi wanahabari

Cesy
India

Anonymous said...

nyii mamoderator mlizamia wapi, maana hii si kawaida ati? anyway good job boy keep it up acha mafala wachonge.

Samson
NEWYORK

Anonymous said...

big up wana ccm kwa kutupa habari motomoto. si unaona bwana tugejuaje kwamba bongo nako tambalale

Aisha
Chicago Ill

Anonymous said...

chama chetu cha mapinduzi cha jenga nchi, kikwete aaaaah, na mwinyi waajenga nchi, ndejembi aaah na viongozi wajenga blogyyyyyy

Victor
Liverpool
uk

Anonymous said...

eee bwana eeeh bongo kama mtoni babaake