Polisi wakipata maelezo toka kwa moja ya watu walioshuhudia ajari hiyo inayoelezwa kwamba ilitokana na hujuma za baadhi ya wafanyakazi wa Shirika hilo la (TRC) na baadhi ya wakazi wa kitongoji hicho cha Pandambili kitichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
hawa walikuwa wapi kabla ya jali waache unafiki kila siku wanakuwa wamwisho kufika katika ajari hivi wanamatatioz gani, jk sema nao hawa bwana
Post a Comment