Friday, March 6, 2009

Wanafunzi wakiwaunga mkono maalbino huku wakionyeshwa kukerwa mauaji hayo
Zoezi hili limezinduliwa jana litafanyika katika kanda na linatakiwa liwe limemalizika kabla ya tarehe 31 machi 2009, litaanza tarehe 10 machi kanda ya ziwa Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga. Baadhi ya walemavu wa ngozi waliohudhuria mkutano huwo.
Naye Mchungaji Zakaria Kakobe alionyesha kusikitishwa kwake na mauji hayo ya kikatili ya maalbino.
Watoto wa shule bila kujali jua walihudhuria uzinduzi huwo.
Skauti pia walikuwepo.

4 comments:

Anonymous said...

The killers reportedly sell albino body parts - including limbs, hair, skin and genitals - to witchdoctors who make potions promising to make people wealthy. Is is this true or wrong ?

Anonymous said...

When you invite people to accuse their neighbours of such a serious crime, you give them the opportunity to settle scores.


Jason
Wichita

Anonymous said...

I remamber our president said Our idea is to ensure the problem is eliminated and the country’s image to the international community is cleansed. This is shame to our country

Anonymous said...

Inasikitisha sana kuona haya yote yanatokea nchini kwetu. Tatizo la watanzania ni wepesi sana kudanganywa na watu wasio na malengho mazuri na wenzao kama tunavyoona mafisadi wanawadanganya wananchi wamchukie rais anayefakazi nzuri kuliko kiongozi yeyote africa.