Friday, January 16, 2009

Ndege ya US Airway iliyoanguka na kuzama jana imeendelea kutitia huku jitihada kubwa za kuinyanyua zikiendelea hata hivyo vikosi vyote vya usalama vilisaidiana katika kuokoa maisha ya watu na hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo kubwa ya kwanza kutokea kwa mwaka huu wa 2009.

Michael Ndejembi.

4 comments:

Anonymous said...

Hii sio ndege ni nyangumi huyu. Wewe ndejembi vipi bwana?

Anonymous said...

Michael huyu nyangumi au ?

CCM-TEXAS said...

Wakati zakwetu zilizopo nchi kavu haziwezi ketembea, za wenzetu hata zilizopo kwenye maji wanajitahidi kuziokoa hili ziendelee na safari.

Anonymous said...

How about MV Bukoba?