Wednesday, January 21, 2009

Rais Jk akitizama picha ya jengo jipya la mikutano litakalojulikana kama Julius Nyerere Convertion center linalotajiwa kujengwa jiji Dar es salaam. kushoto kwa mh.Kikwete ni Balozi wa China nchini Tanzania bw. Liu Xinsheng .

4 comments:

Anonymous said...

Jk kazi nzuri sana !

Anonymous said...

Nadhani tungejenga madarasa ya shule za msingi kule Lugoba,Chalinze,Msata na sehemu nyingine nyingi ktk nchiambazo bado wanfunzi wanakalia mawe na kusomea kwenye miti badala ya mijengo ya mikutano isiyokuwa na maana,mikutano ya kujilimbikizia mali tu na malipo tele. inatia hasira sana nchi yetu.

Anonymous said...

Mtazamo wangu ni kuwa: kwanza tungejenga madarasa ya shule za msingi yenye madawati hasa sehemu za Lugoba,Msata,na sehemu nyingine nchini badala ya kukurupuka na mijengo ya mikutano ya na malipo kibao kwa wahudhurio.
Tutaishia kuwapa ajira Wakenya na Waganda eti kwa sababu wanaongea kingereza na watoto wetu wanasomea kwenye miti na kukalia mawe.

Anonymous said...

mikutano ya kifisadi tena si tungejenga mashule tele