Thursday, January 29, 2009

Mbunge mpya wa Mbeya vijijini Mh. Luckson Mwanjale akiapishwa jana bungeni mjini Dodoma jana. Mwanjale aliapa jana ikiwa ni siku yake ya pili tangu kuanza kuhudhulia kikao hicho cha bunge kinachoendelea katika mji mkuu huo wa Tanzania.

Msomaji,
Dodoma.

2 comments:

Anonymous said...

Mtaalamu anaona mambo yameishanyooka, nyumbani watoto watashiba sasa. Kumbuka wewe ni mtu wa mungu sasa sijui ukikosea wewe utaukumiwa kiasi gani.

Makweta
h/town
usa

Anonymous said...

Siasa za nyumbani bwana. Hawa wanaoshinda ukitafuta cv zao hata haviendania na wanachotakiwa kufanya

kiatu
london