Thursday, January 29, 2009

Salamu kutoka hong kong

Picha hii imepigwa leo usiku na msomaji wetu kutoka Hong Kong. Ukitaka kuona vizuri bonyeza kwenye picha.
(Ahsante sana msomaji wetu kwa salamu na picha hii)

2 comments:

Anonymous said...

kufikia mwaka 3000 bongo nayo itakuwa hivi kwa jinsi mambo yanavyobadilika. Nyie ccm mpo mpaka hong kong au?

Anonymous said...

Hawa ccmmarekani wapo tu marekani na wala sio mpaka huko hong kong wasikudanganye sema tu huyu kawatumia hizi picha basi nao kwa sifa wakaibandika. Sijui mnatumia vigezo gani katia kuchagua kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe maana nimewatumia ujumbe wangu na picha lakini hata moja hanjaweka. Hamana hata moja najua hata huu ujumbe wangu hamta uruhusu lakini taharifa nimewafikishia.

Mimi ni msomaji wenu mzuri kwa taharifa yenu.