Saturday, January 3, 2009

Nchi nyingi zimekuwa na utaratibu wa kushandanisha picha kwa lengo la kukuza ubora wa picha na pia kuwafanya wapiga picha kutambua kwamba kazi yao inathaminiwa. Hii ni moja kati picha bora kupata kupigwa na raia wa kigeni nchini marekani kwa mwaka jana wa 2008, ilipigwa na bw. Gonzarez Benitez kutoka Spain.

Msomaji.
Madrid,
Spain.

No comments: