Thursday, January 29, 2009

Moja kati ya Madiwani waliopata nafasi ya kuteta jambo na Mh. Jk Kikwete bwana Hashim Mbonde akielezwa jambo na mkuu muda mchache kabla ya rais Jk kuondoka ukumbini hapo. Hayo yalijiri jana jiji Dar es salaam wakati wa chakula maalum kilichoandaliwa na Madiwa hao
wa mkoa wa Dar es saalam.
Msomaji,
Dar es salaam.

3 comments:

Anonymous said...

Nampongeza ndugu yangu kwa kuchaguliwa

Jk mwambia mapema afanye kazi kama wewe sio tu kuwalinda mafisadi wadogo waliopo kwenye kitongoji chake

Anonymous said...

Sawa kabisa maana watanzania wengi wanafikiri mafisadi ni wale walioiba bot na mashirika makubwa kumbe mtandao wa mafisadi unaanzia ngazi za chini

Jk wanakutambua lakini !

Anonymous said...

Bongo bwana, wote waliomzunguka rais wanaonekana kabisa wakipewa nafasi tu rushwa mtindo mmoja