Thursday, January 1, 2009

Hili ndilo daraja la Manzese, siku chache zilizopita moja ya wasomaji wetu aliomba kujua hali ya daraja la manzese nasi katika kuukaribisha mwaka wa 2009 tunampatia kile alichokiomba msomaji wetu. picha hii imepigwa siku chache zilizopita na moja ya wasomaji wetu aliyeko Dar es salaam.

Benard elias,
Fire bus stand.

4 comments:

Anonymous said...

Bongo mambo yetu si mchezo. Sasa hili linatofauti gani na hilo la marekani.Wabeba mabox msitutishe, tunajua majengo nini mnavyo lakini mabox nayo mnabeba. Bongo mswano tu

Anonymous said...

tunahitaji mengine kama haya karibu kila panapohitajika nawaomba viongozi kuufuatilia mtandao huu kwani ndio njia pekee kwetu sisi kwafikishia kilio chetu na mawazo yetu.
Lkini sio kuufuatilia tuu, pia kuuwezesha ili tupate habari nzuri
zaidi.

ulomi
kampala
uganda.

Anonymous said...

hili daraja watu hawalitumii ipasavyo tunaomba usimamizi mkali ili watu walitumia kama ilivyokusudiwa

Joseph
Sinza-Dar

Anonymous said...

Ndejembi hongera kwa kazi nzuri.
sina la zaidi albda nikutakie kheri kwa mwaka huu mpya wa 2009
kiukweli unafanya kazi nzuri na umekuwa mfano wa kuigwa miongoni mwa watanzania na hasa namana unvyowajibika ktk mambo ya serikali na chama
Hongera sana sana kaka!

rose
London