Friday, January 2, 2009

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa wakati wa sherehe za mwaka mpya coco beach jjijini dar es salaam. Idadi ya watu wanaotembelea eneo hilo imekuwa ikiongezeka siku hadi siku kama inavyoonekana katika picha hii.
Msomaji,
Dar es salaam.

6 comments:

Anonymous said...

bwana mwenyekiti mi nawapongeza sana wewe na timu yako kwa kazi nzuri lkn nilitaka kujua hivi hapa polisi walikuwepo? maana usalama ni jambo muhimu sana

kiberiti
Mbeya

Anonymous said...

hivi ni kwamab hakuna sehemu nyingina ya kustarehe zaidi ya coco beach, kwa nini wajitese kiasi hicho

lydia
Dallas

Anonymous said...

ili eneo wala halivutii wala nini basi wabongowabishi yako maeneo mengi mazuri wangeweza kwenda lakini kwa mapenzi yao wameamua kwenda hapo poa tu.

simon
paris.

Anonymous said...

asante bwana michael kwa ushahidi mwingine kwamba wabongo tunapenda sana sterehe kuliko kazi. anyway labda ni kwa sababu ilikuwa sikukuu, kama tunaweza kujikusanya kwa kiwango hiki tukatumia kwa kiwango hiki kwanini tusijikusanye kwa kiwango hiki na tukajitolea kwa kiwango hiki ili kujenga let say shule, madawati au dawa kwa ajili ya mahospitali yetu.

china boy
kigamboni
bongo darisalama

Anonymous said...

na joto la bongo palikuwa panakalika kweli

Anonymous said...

sema nao wajuba hao kwanini wasijione mambo ya bongo tena mngeweza mngewapeperushia live kutoka coco beach

goodfrey
Ubungo
dar es salaam