Tuesday, January 27, 2009

CCM YASHINDA KWA KISHINDO MBEYA.

Tume ya taifa ya uchaguzi imemtangaza rasmi mchungaji Luckson Mwanjali kuwa mbunge wa jimbo la Mbeya vijijini. Mwanjali pichani anatarajiwa kwenda mapema bungeni mjini Dodoma rasmi kwa shughuli za bunge zilizoanza leo mjini hapo.

Msomaji,
Dodoma.

No comments: