Friday, January 16, 2009

Salamu kutoka dar es salaam

Hivi ndivyo lilivyoonekana jiji la dar-nyakati za mchana mwaka jana. Picha hizi tumetumiwa na msomaji wetu kutoka jijini dar-es-salaam. Ukitaka kuona vizuri bonyeza kwenye picha.
(Ahsante sana msomaji wetu kwa salamu na picha hizi)

14 comments:

Anonymous said...

Mambo ya miundo mbinu hayo. Je kifanyike nini kukabiliana na msongamano kama huu?

Matiku

Magomeni

Anonymous said...

Mambo ya Benzi, mwenye nalo fisadi au ?

Anonymous said...

Mambo ya Benzi, mwenye nalo fisadi au ?

Anonymous said...

Misongamano tanzania ni kuanzia kwenye mabebki barabarani na kwingineko.

Anonymous said...

Bongo magari ya kumwaga. Wabeba maksi mpo?. Rudi kwenu mambo ndio kama unavyoona.

ccm walete hao!!!!!

Anonymous said...

ccmmarekani asanteni sana kwa kazi nzuri, tanzania inawahitaji watanzania walioko nje-hili ni moja pili, wanzania wenye moyo kwani si wote walioko nje ni wenye moyo.
mchango wao unahitajika kwani nchi zote zilizoendelea zimetumia wataalam wa nje na wandani katika kufanikisha mambo mbali mbali.

george
university of houston
htown
usa

Anonymous said...

tanzania sijui kuna mdudu gani hembu msongamano wa magari! kuna haja kubwa kwa viongozi kuwa na kawaida ya kukubali juu ya uwezo wao kiutendaji. tatizo la bara bara halikuanza leo, nakumbuka miaka michache tulikuwa na tatizo kama hili wakati alikuwepo bwana mmoja anaitwa mwaibula sijui yuko nadhani majungu yamemtoa. huyu aliimudu sana wakati huo, sasa tatizo bado lipo kwanini wahusika wasimwite awashauri? kubalini hamjui kazi ili msaidiwe msisubili kikwete awafukuze.

leonard
france

Anonymous said...

hawa jamaa ni wabishi tu kazi imewashinda sijui wanasubiri nini, tatizo tanzania watu hawakubali juu ya uwezo wao labda ni kwa kuwa hakuna ajira nyingine ndio maana.

hassan
dodoma
tanzania

Anonymous said...

kwa mwendo huu kazi sana kufika, ndejembi nyinyi mko huku marekan mnayaona haya, kwanza nakushuru kwamba unakumbuka nyumbani ndio maana unajishughulisha kwa haya. naamini uwepo wako hapa marekani unajifunza mengi na nina imani serikali inaona jitihada zako na watakupa nafasi kwani mimi na wenznagu wote wapenda maendeleo ya tanzania hatuna shaka na uwezo wako, lakini naomba kukumbusha kwamba ujue kuwajibika na kuwawajibisha walio chini pindi inapolazimu kufanya hivyo.

pro. lyoba
clarward university
Illinoi

ndejembi tafadhali nitafute ninaushauri kwako nimependa sana jitihada zako, jitahidi sana mungu takusaidia

Anonymous said...

tunahitaji watanzania wenye moyo ili tanzania iendelee ndio maana mtu yeyote mwenye busara lazima ataanza kwa kuwapongeza ccm marekani, tunao watanzania wengi nje ya nchi wanafanya nini kkuisaidia nchi? ni majungu tu na kana kwamba haitoshi ni mabingwa wa kukosoa tena bila woga, na wengine eti hujiita wakimbizi kisa utawala mbovu umewakimbiza. hii ni aibu sana kwa watanzania kwani shule mmekwenda kufanya nini kama hamtasaidiana na serikali katika kutatua matatizo yanayoikabili nchi?


sheby
London
uk

Anonymous said...

bado kitambo kidogo tu tutafika ila lazima hawa mafisadi lazima waondoke kwa ghalama yoyote, asante kikwete kwa kujitoa mhanga na ccm marekani najua wapo pamoja nawe.
nadhani uwajibikaji ndio sifa pekee katiak maendeleo ya taifa lolote kama alivyowahi kusema bwana michael ktk moja ya matoleo yake.

alvin mwaipopo

china

Anonymous said...

endeleeni wana ccm kufanya kazi, kwa kweli mna jitahidi sana. hivi chama kule tanzania kina wasaidiaje au ndo kama kawa wao kama hakuna ten percent hawatii timu?

ramadhani
philadephia

Anonymous said...

jamani kaka ndejembi hongera sana! naomba kujua namna nitakavyopata kadi nimekutumia email yangu ktka email yenu ya ccmmarekani.
kaka jitahidi sana tunakufurahia kwa jitihada zako

julian
pennsyvania

_ks_ said...

Helllo