Saturday, January 17, 2009

Rais mteure wa Marekani Baraka Obama akiwapungia mikono mamia ya wananchi waliokuwa wamejipanga pembezoni mwa reli wakati akipita katika miji mbali mbali akitokea Philadephia kuelekea Washington atakapo apishwa kuwa rais wa 44 wa Marekani. Obama ameambatana na mkewe bi. Michelle, wanawe Malia na Sasha pamoja na makam wake bwana Joe Biden na mkewe bi Jil.
Msomaji.

1 comment:

Anonymous said...

Obama is the first black american to be a president of the United States of America. This is so cool !!!