Saturday, January 17, 2009

Baraka Obama na makamu wake wakiwapungia mikono wananchi kadhaa wakati wakipita katika moja ya vituo vya tren kuelekea washngton.

6 comments:

Anonymous said...

tunahitaji viongozi kujua kwamba ni wajibu wao tena bila kukumbushwa na yeyote kusimamia na njia zote za usafiri, huduma za jamii, ajira nk kwani huo ndio wajibu wao na ili hayo yaweze kutekelezwa lazima wao wawe watu walio mstari wa mbele katika kututmia njia hizo.

Remmy
Maryland university

Anonymous said...

ningeshauri wana ccm mtutangazie huu mtandao kwenye jumuia mbalimbali hapa malekani kwani wnegi wanataka kujua mambo mbalimbali lakini nyenzo ndio mzozo.

safina
chicago
usa

Anonymous said...

ccm oyeeeee! keep it up guys.

jack
houston
usa

Anonymous said...

kumbe hata rais wa marekani hupanda treni!?

Anonymous said...

saaaaaaaaaaaaafi sana wana ccm marekani, huu ndio wajibu ambao watanzania wote wanapaswa kuufanya lkn isiwe kwa manufaa binafsi

sebastian
jamaica

Anonymous said...

jamaani hii blog imeanza hasa lini nina mambo mengi sana nilitaka kuwashauri kwanza ninyi viongozi wetu wa ccm hapa marekani na pia viongozi wetu kule africa. nawaomba muwe tayari kupokea na kuutekeleza, nitawatumieni punde.

william
capital hill
USA