Saturday, January 17, 2009

Maandalizi kwa ajiri ya kuapishwa kwa bwana Obama kuwa rais wa Marekani yamezidi kupamba moto huku siku zikiwa zimesalia tatu tu kabla tukio hilo kufanyika rasmi jumanne wiki ijayo. Bwana Obama na ujumbe wake wamekwisha wasili Washngton dakika chache zilizopita rasmi kwa ajiri ya shughuli hiyo.

Msomaji.

8 comments:

Anonymous said...

tuna mpongeza obama kwa yote hasa jitihata zake na nadhani ni mfano mzuri wa wote wanaotaka kuwa viongozi na pia ambao ni viongozi

Anonymous said...

watanzania na viongozi tuna chochote cha kujifunza?

maliki
mombasa

Anonymous said...

dunia sasa itaongozwa na mtu mweusi viongozi wetu mnajua nini maana yake?

dullah
south korea

Anonymous said...

jamaa watamind, poleni ndo mambo ya uelewa!

charles
burundi

Anonymous said...

mpeni hongera zetu, mwambieni anatakiwa pia kuwaonya viongozi wa kiafrika na hasa tanzania kuacha mara moja ufisadi na ikibidi aiwekee vikwazo mpaka viongozi wote wa ufisadi wafikishwe mahakamani na kisha wafungwe.

Dr. Masoud masoud
soweto
afrka ya kusini

Anonymous said...

hawa viongozi, yaan anasafiri na tren?! kiongozi gani wa tanzania atakubari kupanda tren? ndio maana yakiharibika nobody care.

jimson
DC
usa

Anonymous said...

ndejembi haya mabo unaonekana kuyamudu sana, sasa nini mpango wako wa baadae? maana tunahitaji watu wenye moyo saana na wewe umekuwa mfano kwa juhudi binafsi na najua unakutana na vikwazo vingi tuu.

Carlos @ Rachel
Lincolin mem, univ.
portland
United state of Aamerika

Anonymous said...

saaaaaaaaaaaaaaaaf sana