Tuesday, January 6, 2009

Salamu kutoka dar es salaam

Hivi ndivyo zilivyokuwa zikionekana baadhi ya sehemu za jiji la Dar es salaam leo alaasili, picha hizi zimepigwa leo na msomaji wetu.

Msomaji,
Dar-es-salaam.

2 comments:

Anonymous said...

BONGO SI MCHEZO. JE MAFISADI NAO WAKIAMUA KUWEKEZA HAPA BONGO ITAKUWAJE !!!!

Anonymous said...

Wabeba mabox mpo? kwetu nasi mambo ndio kama hivi.

Nitawatumia picha zingine naomba nazenyewe mzibandike. Mwenyekiti pole na kazi

Daudi