Kila sehemu mwaka mpya husherehekewa toufauti, hapa ni Marina bay singapore pindi ilipotimia saa sita kamili usiku wa kuamkia tar. 01/o1/09 hii ni moja kati sehemu ambazo sherehe zake zilifana sana miongoni wa majiji duniani.
Kokusima lyoba,
Marina-Singapore
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
11 comments:
sijui lini bongo tutasherehekea kama hivi au japo kufanana na jiji hili.
kijicho
wa kijitonyama-dar
nawapongezeni ccm marekani kazi yenu si haba kwani mmeonyesha kuwa wabunifu na pengine mnaweza kubuni mambo mengi ya kulisaidia taifa letu tanzania.
Asanste mr. chairman kwa kazi nzuri
Ayubu
Ohio
Asiyemini kwamba mambo ndio yameanza anamatatizo yake mwenyewe
kwa mwendo hii bwana michael tutafika tuu.
mwendo mdundo kama tumeweza kujenga moja tunaweza kujenga na mengine mengi tu cha msingi tujipangie wakati basi
richard
kimara baruti-dar es salaam
we ndejembi tunataka na maraja, majengo na bahari ya kwenu dodoma
Jumanne
virginia,
united state of america
habari ndo hiyo mwana, nishushie na kile kitu cha kibiti- lindi mwanangu najua mijeba itakutumia.
lete raha wana ccm mtoni
Jonas
Atlanta.
hapa mi ndo nina poishi ndugu zangu
natamani sana mabo ya hapa yangekuwa yanatokea tanzania but ndio hivyo tena
samson
mwaipopo
singapore
haya mambo si ya msingi sana kwa taifa letu la msingi kwa sasa ni maisha bora kwa maana ya kazi, shule, nyumba nzuri na usalama wa watu na mali zao.
matonya
dodoma.
keep it up boy! i know dat u know booooy!
keny
spain
Hongera Kwa Kuwa na tuvuti hii.
Mjitahidi kutafuta habari nzuri za kuingiza habari nzuri zinazoweza kueajenga watanzania vyema katika nyanja za siasa.
Kujua lipi jema na lipi baya.
Watu husikiliza maneno ya watu wa mtaani wasilo kuwa na wlimu lakini wamekaa kuilaumu serikali na mabo yake.
Iangalieni jamii ya watanzania inaujinga kasi gani unoweza futika kwa haraka.
Elimu ya siasa na utawala hasa katika chama iongezwe

Huruma Mgaya
Sinza
Dar es salaam
Post a Comment