Thursday, April 30, 2009

Mh. JK akiwa ameambatana na viongozi kadhaa akiwemo mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama jenerali Mwamunyange, mkuu wa jeshi la polisi Insp. jenerali Said Mwema na naibu waziri wa ulinzi Mh. Emmanuel Nchimbi alipofika katika eneo la tukio kujionea mwenyewe hali ilivyo baada ya ghala la silaha za jeshi kukumbwa na milipuko na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu mkubwa wa mali za wananchi.

No comments: