Waziri wa mkuu wa Australia akizungumza na makamu wa rais wa mazingira Dk. Batilda Burian kwenye Hotel ya Kempinsk jijini Dar es salaam leo asubuhi, Dk. Batilda alifika kumuaga waziri mkuu huyo akiambatana na mwanae bi. Shymaa.
msomaji Tanzania.
2 comments:
Anonymous
said...
heri yao wanaokutana na hawa viongozi, maana wanawapeleka mpaka watoto wao, hii si kazi jamaani?
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
2 comments:
heri yao wanaokutana na hawa viongozi, maana wanawapeleka mpaka watoto wao, hii si kazi jamaani?
we bwana huyu mgeni haajaja kuwekeza kweli.
Post a Comment