Thursday, April 16, 2009

BAADHI YA TIMU ZA MIKOA ZILIZOSHIRIKI MICHUANO YA NETI BOLI MWAKA HUU

Hii ndio timu ya Arusha.
Hawa ndio wa Dom kule bungeni. Japokuwa ni wachache lakini ndio wawakilishi wa Kinondoni Temeke pia walikuwepo
Wanatoka mji kasoro bahari (Moro).
Hawa ni wa Pwani lakini wamekosa "Raha".
Twaja leo twarudi leo nao hawakuachwa nyuma.

Msomaji, Dar es salaam

No comments: