Mkurugenzi wa sumatra Israel Sekirasa kutoka kulia akiongea jambo kuhusianana Mkutano wa wadau wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia Malori hapa nchini katika ni Makamu Mwenyekiti wa Mkutano huo Willy Kishimbo na Makamo Mwenyekii wa Tatoa Alkarlim Daud.
Msomaji
Dar es salaam
Mkutano huo ulio wahusisha wadau wa usafirishaji na wamiliki wa malori ulilenga maboresho ya usafirishaji ambapo baadhi wafanyashughuli hiyo wamekuwa wakilalamika kuwa gharama ya usaafirishaji mizigo imekuwa ikipanda zaidi. Hivi karibuni Waziri MKUU Mizengo Kayanda Pinda alitembeleas katika masoko yote ya jiji la Dar es Salaam na kujionea shughuli za masoka ambapo alipofika katika soko kuu la kariakaoo,aliambiwa na Mkuu wa soko la kariakoo kuwa kwa sasa Magari makubwa yamizigo hayaluhusiwi kuingia katika soko hilo, hata hivyo kiongozi huyo alitabainisha kuwa mbona magari ya soda na yale yanayosambaza vinywaji aina ya pombe yanaingia katika maeneo hayo ya soko na hayatozwi ushuru mkubwa na hayakamatwi.
Msomaji
Dar es salaam
2 comments:
jamani hii mikutano inamanufaaa gani kwetu mbona watu hawabadiliki tu, hembu tusaidien jamani
ndejembi nisaidie nataka na mimi nihudhurie mikutano hiyo nifanyaje?
kama vipi nikutumie email yangu
Post a Comment