Wednesday, April 15, 2009


Moja ya wakufunzi wa soka la vijana nchini Marekani ambae pia ndie mwalimu wa soka wa timu ya Tanzanaia- Houston bwana Juma maswanya akitoa Medali kwa waamuzi wa mashindano ya kombe la mataifa huru ya Afrika yaliyofanyika Houston hivi karibuni. Mshindi wa mashindano hayo alikuwa ni Sudani na Tanzania walishika nafasi ya pili ikumbukwe kwamba bwana Juma maswanya pia ni mlezi wa CCM tawi la Marekani.
msomaji,
Houston.

No comments: