Wednesday, April 15, 2009

MAKAMUA ADHIHIRISHA UBORA WAKE.

Mwanamuziki Mack Paul Sekimanga al-maarufu kama makamua ameudhihirishia ulimwengu kwamba yeye ni bora na si bora yeye. Makamua ambaye ameibuka kuwa mwanamuzi bora wa R&B katika kili- award hivi karibuni ameendelea kupanda chati na sasa ni gumzo ndani na nje ya Tanzania.Nje Makamua anawika vilivyo huko Ulaya na sasa kaishika kikamilifu Marekani na kwamba ni moja ya wanamuziki ambao wako kwenye top list kuja kutumbuiza nchini U S.

msomaji,
Tanzania.

No comments: