Katibu Mkuu wa wizara ya Miundombinu Omar Chambo akiongea na waandishi wa habari kuhusu kukwama kwa meli hiyo ya mizigo katika eneo la Feri ya Kigamboni baada ya kutokea matatizo kwenye usukani na kushindwa kukata kona, meli ilikuwa inatokea katika Bandari ya Dar es Salaam kuelekea nchi za nje. Juhudi za kuikwamua zinaendelea ikiwa ni pamoja na kupunguza maji na mafuta kwenye meli ili kupunguza uzito
Msomaji
Dar es salaam
No comments:
Post a Comment