Wednesday, April 1, 2009

Baadhi ya wanajeshi wanaokwenda Darful - Sudan kulinda amani wakiwa katika picha ya pamoja leo. wanajeshi hao waliagwa na katibu mkuu mstaafu wa African Union Organisation (OAU) Dk. Salim Ahmed Salim leo.

Msomaji,
Tanzania.

No comments: