Monday, April 13, 2009

JAKAYA AIZINDUA KIROMO VIEW BAGAMOYO

Rais Jakaya Kikwete akitembezwa katika Hoteli ya Kiromo View iliyopo kandokando ya Barabara ya Bagamoyo wakati alipoizindua rasmi, kulia anayempa maelezo ni mkurugenzi wa hoteli hiyo bw. James Mujunamgoma na kushoto ni Waziri wa Maliasili Mh Shamsa Mwangunga na mkuu wa mkoa wa Pwani Dk Christine Ishengoma.

Msomaji
Kibaha

No comments: