Friday, April 3, 2009

RAIS JAKAYA AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA BALOZI HATTEM ATTALAH

Rais Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Tunisia nchini Hattem Attalah Ikulu leo katikati ni mkuu wa Itifaki Mh. Itatilo Rais pia alipokea hati za utambusho wa balozi wa Sierra Lione nchini Balozi Gbabey Bangali.

Msomaji,

Dar es salaam

1 comment:

Anonymous said...

tumewaona mabalozi wapya wa nchi nyingine, CCM tusaidieni kubadili hawa mabalozi wetu kwani wameshachoka na hawana msaada tena nasi