
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na marais Mwai Kibaki wa Kenya na Paul Kagame wa Rwanda jana jioni walizindua ujenzi wa barabara ya Arusha Namanga inayoitwa Anthi River Road huko Lengijabe Pembezoni mwa Jiji la Arusha, mara itakapokamilika barabara hiyo itakuwa ni ukombozi kwa wananchi wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki hivyo kupunkwa kiwango kikubwa tatizo la mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki
MsomajiArusha
4 comments:
hili ni jambo jema sana kwa ustawi wa jumuia yetu. waambieni tunataka jumuia imara
manka.
saafi saaana, mambo yote Arusha bwana.
mambo wana ccm. tunashukuru kwa sinema lini mtakuja tena
ndejembi tunataka sura ibandikwe ktk mtandao, mbona unaificha ficha?
Post a Comment