Saturday, July 25, 2009

ZITTO KABWE WA CHADEMA AANZA KULAUMIWA.

Mbunge wa Jimbo la Kigoma kaskazini bwana zito kabwe ameanza kulaumiwa na wapiga kura wake kwa madai kwamba hana msaada naona kwamba hajawatembelea tangu achaguliwe miaka minne iliyopita. habari zilizotufikia mchana wa leo zinadai kwamba wapiga kura hao walitoa shutuma hizo walipokuwa wakizungumza na wajumbe wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa kigoma ambao alikuwa katika vijiji kadha vya jimbo hilo la kigoma kaskazini.
Msomaji
Dar es salaam.

5 comments:

Anonymous said...

huyu mbona kibaka tu, yani wapiga kula wake ndo wanaanza kumgundua!?

nadhani huyu ni kibaraka tu wa kikundi furani na hayuko kwa manufaa ya wapiga kura wake wa tanzania kwa ujumla. huyu ni kama kina vijicent waliosomeshwa na serikali wakashindwa kurudisha fadhira wa watanzania.

godfrey
DC

Anonymous said...

Mimi yangu macho, nilijua tu !

Alfred Lunogelo Fute said...

Sio mchezo huyu. Unajua KIKANGONET we cheza nae tuutaona! Mtoto wa Ujiji yule.

Anonymous said...

Sio mchezo huyu. Unajua KIKANGONET we cheza nae tuutaona! Mtoto wa Ujiji yule.

Anonymous said...

Bwana zitto ni mpiganaji, sizani hajaenda kuwaona wanachi wake, kama ni kweli basi hiyo inaanza kunipa wasi wasi mkubwa kwa hawa wapinzani

Juma
Kimara