Monday, July 20, 2009

SALAAM KUTOKA KWA MSOMAJI WETU DAR ES SALAAM

Kituo kikubwa cha Basi yaendayo mikoani maeneo ya ubungo jijini dar es salaam
Kituo kikubwa cha dala dala maeneo ya ubungo
Msomaji wetu wa dar amendelea kutuma salaam kwa watanzania wote waliopo nje na ndani ya nchi na anependa kwa wote waliopo nje ya jiji la dar es salaam wajionee jii kulivo kwa sasa. Pia amehaidi kuwa ataendele na utaratibu huu wa kuwatumia picha za jiji la dar hili mkumbuke nyumbani
CCM nchini Marekani inatoa shukrani kwa niaba ya wasomaji na watanzania wote kwa ujumla

2 comments:

Anonymous said...

mwana hii imenikumbusha saana home, i think natakiwa kutembelea home kidogo japo kwa mwezi mmoja.
ndejembi hizi picha ni nani anakutumia nataka kumjua.

iddy

Anonymous said...

Hii imenikumbusha mbali, nawapongeza ccm kututukia picha hizi tukumbuke nyumbani.