skip to main |
skip to sidebar
RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MKUU WA MAJESHI WA AFRIKA KUSINI
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa majeshi ya Tanzania na Afrika Kusini na maafisa wengine wa nchi hizi mbili wakati walipoonana na rais Ikulu jijini dar es salaam, kushoto ni Jenerali Godfrey Ngwenya Mkuu wa majeshi Afrika kusini na kulia ni Jenerali Davis Mwamunyange Mkuu wa majeshi wa Tanzania.
Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Ikulu Mkuu wa Majeshi ya Afrika ya kusini Jenerali Godfrey Ngwenya wakati alipomtembelea ikulu jijini Dar es salaam Msomaji
Dar es salaam
No comments:
Post a Comment