Monday, November 30, 2009

Waziri wa Uvuvi na Mifugo Dr John Pombe Magufuri akipongezana na Dr John Stanslaus Nduguru amabaye ni Mkurugenzi wa idara ya huduma ya ufundi katika Wizara ya Miundo mbinu baada ya kuhitimu Phd katika mahafali yaliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Msomaji
Dar es salaam

No comments: