Friday, November 27, 2009

Waziri Mkuu Mhe Mizengo Kayanza Peter Pinda Atembelea wilaya ya Monduli !!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa wilaya na Halmashauri ya Monduli, Arusha kuhusu hali yaukame na njaa wilayani humo kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo. Kulia ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa na katikati ni mkuu wilaya hiyo,Njowika Kasunga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano kuhusu barabara vijijini alioufungua mjini Arusha Novemba 27,2009.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Msomaji
Arusha

No comments: