Monday, November 16, 2009

EQUADOR WINS ON FIFTH ANNUAL SISTER CITIES OF HOUSTON SOCCER TOURNERMENT!

TANZANIA ENDS TO BE THE SECOND RUNNER-UP.

Hekaheka langoni mwa Equador wakati mchezo wa fainali dhidi ya Holland waliobamiza Tanzania magoli 5-2. Mchezo huo uliisha kwa Equador kuilaza Holland 1-0

Wadau wakifuatilia mpambano.

Waratibu wa mashindano wakieleza machache kabla ya kukabidhi vikombe kwa washindi.
Nahodha wa timu ya Holland akikabidhiwa kikombe cha ushindi wa pili.


Nahodha wa timu ya Equador akikabidhiwa kombe la ushindi.

Washindi wa mashindano hayo timu ya Equador wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa kombe.

1 comment:

Anonymous said...

Kazi nzuri mkuu...
Houston TZ FC tunasema asante!
-Steve hapa.