Saturday, November 14, 2009

FIFTH ANNUAL SISTER CITIES OF HOUSTON SOCCER TOURNERMENT KICKED OFF TODAY!

TANZANIA YAANZA KWA KISHINDO


Baadhi ya wachezaji (pichani juu) wa timu ya tanzania wakijiandaa dakika chache kabla ya mchezo wao kuanza leo mchana.




Captain wa timu ya tanzania Haroun Mwasabite (katikati) akiwa na wachezaji wenzake Justice (kulia) na Shaib (kushoto).


Mtanange ukiendelea ambapo matokeo yalikuwa suluhu ya 3-3 dhidi ya Equador.


Kocha wa Tanzania James Shemdoe wa (kwanza kushoto) akiwa na baadhi ya wasimamizi wa mashindano.

Timu ikipokea maelekezo wakati wa mapumziko.



Mmoja wa waamuzi wa mashindano hayo akibariiiiiizi! baada ya mechi kumalizika.



Makamu wa rais wa timu ya Tanzania Allan Maphuru (katikati) akiwa na baadhi ya wasimamizi wa mashindano hayo.

No comments: