Monday, November 23, 2009

Maofisa Habari wanolewa - AICC Arusha.

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Joel Bendera (katikati) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari- MAELEZO (Kushoto) Clement Mshana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Elishilia Kaaya mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa tano wa Maofisa Habari ,Elimu na Mawasiliano wa Wizara,Taasisi,Idara zinazijitegemea na Wakala wa serikali leo jijini Arusha.
Msomaji
Arusha

No comments: