Wednesday, November 18, 2009

SITTA AMTEMBELEA MIGIRO NEW YORK.

Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania,Mhe. Samuel Sitta (Kushoto) akisalimiana na Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr. Asha-Rose Migiro alipomtembelea ofisini kwake,makao makuu ya Umoja huo mjini New York Marekani. Mheshimiwa Spika yupo Jijini New York kuhudhuria Mkutano wa pili wa kamati ya maandali ya mkutano wa Maspika wa Mabunge Duniani utakaofanyika Julai 2010 huko Geneva.

No comments: