Friday, November 27, 2009

Rajabu Kiravu azungumzia wajibu wa vyombo vya habari wakati wa uchaguzi mkuu!!

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Rajab Kiravu akisisitiza jambo kuhusu nafasi na wajibu wa vyombo vya habari wakati wa uchaguzi mkuu kwa Maofisa habari na Mawasiliano wa Wizara, Taasisi, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali leo katika ukumbi wa kimataifa wa Arusha (AICC).
Msomaji
Arusha

No comments: