Wednesday, November 18, 2009

MWENYEKITI WA WAMA ZIARANI MKOANI SINGIDA.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA)akiwa amebeba kibuyu mara baada ya kukabidhiwa na wanawake wa kabila la wataturu ikiwa ni ishara ya kumkaribisha katika mkoa wa Singida. Mama Kikwete yuko katika ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani humo.

No comments: